Collector
Serikali kuwarasimisha na kuwawezesha mama na baba lishe | Collector
Serikali kuwarasimisha na kuwawezesha mama na baba lishe
Swahili Times

Serikali kuwarasimisha na kuwawezesha mama na baba lishe

Rais Samia Suluhu Hassan amesema serikali itaendelea kuchukua hatua za kuweka mikakati mahususi ya urasimishaji na uwezeshaji wa biashara ndogondogo, ikiwemo kundi la Mama na Baba Lishe, ili waweze kuwa sehemu muhimu ya utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Akizungumza leo na wadau wa sekta hiyo amesema biashara ndogondogo zina mchango mkubwa katika kukuza uchumi wa nchi na kutoa ajira kwa wananchi wengi, hivyo serikali imejipanga kuhakikisha zinapata mazingira bora ya kufanya kazi na kuendelea kukua. “Serikali itaendelea kuchukua hatua za kuweka mikakati mahususi ya urasimishaji na uwezeshaji wa biashara ndogondogo ikiwemo kundi la Mama na Baba Lishe […] The post Serikali kuwarasimisha na kuwawezesha mama na baba lishe appeared first on SwahiliTimes .

Go to News Site