Collector
Vikwazo vya wanawake katika kilimo licha ya mchango wao mkubwa | Collector
Vikwazo vya wanawake katika kilimo licha ya mchango wao mkubwa
Mwananchi

Vikwazo vya wanawake katika kilimo licha ya mchango wao mkubwa

Licha ya wanawake kuchangia karibu asilimia 40 ya nguvu kazi ya kilimo duniani na kuwa na mchango mkubwa nchini Tanzania, bado wanakabiliwa na changamoto za kimfumo, zikiwemo umiliki wa ardhi, mitaji, teknolojia, soko, upatikanaji mdogo wa huduma za kifedha, huduma za ugani na ushiriki katika uamuzi.

Go to News Site