Collector
Benki ya Exim Tanzania na Toyota Washirikiana Kurahisisha Upatikananji wa Magari kwa Watanzania | Collector
Benki ya Exim Tanzania na Toyota Washirikiana Kurahisisha Upatikananji wa Magari kwa Watanzania
Swahili Times

Benki ya Exim Tanzania na Toyota Washirikiana Kurahisisha Upatikananji wa Magari kwa Watanzania

Benki ya Exim Tanzania imeingia katika ushirikiano wa kimkakati na Toyota wenye lengo la kufanya umiliki wa magari kuwa rahisi zaidi na nafuu kwa Watanzania. Kupitia ushirikiano huu, suluhisho maalum la ufadhili wa magari limeanzishwa, likiwwawezesha watu binafsi na biashara kununua magari mapya na yaliyotumika kwa gharama ndogo ya awali Pamoja na muda nafuu wa marejesho unaoweza kufikia hadi miaka sita. Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi na wa Kati wa Benki ya Exim Tanzania, Bw.Andrew Lyimo( wa pili kushoto) na Meneja Mkuu wa Toyota Tanzania Bw.William Kadiva (wa pili kulia) wakisaini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano unaolenga kuwawezesha wateja […] The post Benki ya Exim Tanzania na Toyota Washirikiana Kurahisisha Upatikananji wa Magari kwa Watanzania appeared first on SwahiliTimes .

Go to News Site