bongo5.com
Tanzania imeandika historia mpya katika tasnia ya urembo duniani baada ya kuwa nchi ya pili Barani Afrika kuandaa mashindano ya 74 ya “Miss World’ na kuwa ya kwanza katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati ikitanguliwa na Afrika Kusini ambayo iliandaa mashindano hayo kwa mara ya mwisho mwaka 2009. Kauli hiyo imetolewa jijini Dar es …
Go to News Site