Mwananchi
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, iliyoketi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeelezwa jinsi Dominic Mushi anavyodaiwa kutekeleza mauaji ya mkewe, Diana Hugo, kwa kumnyonga hadi kufa, kisha kuufunika mwili wake kwa shuka na kuulaza kifudifudi kitandani, huku pembeni ya mwili huo kukiwa na chupa moja ya K-vant na kikombe cha plastiki cha rangi ya bluu.
Go to News Site