Collector
Aliyemuua mumewe akiwa na hawara ahukumiwa kifungo cha nje | Collector
Aliyemuua mumewe akiwa na hawara ahukumiwa kifungo cha nje
Mwananchi

Aliyemuua mumewe akiwa na hawara ahukumiwa kifungo cha nje

Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Songwe, imemhukumu kifungo cha nje cha miezi 18, Elizabeth Sylvester maarufu Sosomo, mkazi wa Kijiji cha Chudeko, Wilaya ya Songwe, baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumuua mumewe, Ally Masanja bila kukusudia.

Go to News Site