Mwananchi
Zaidi ya Sh39 bilioni zinatarajiwa kukamilisha mradi wa maji wa miji 28 katika Halmashauri ya Mji wa Njombe, wenye lengo la kumaliza kabisa changamoto ya upatikanaji wa maji safi na salama kwa wakazi wa maeneo mbalimbali ya mji huo mkoani Njombe.
Go to News Site