Collector
Peter: Wanawake si chanzo cha ugomvi wetu | Collector
Peter: Wanawake si chanzo cha ugomvi wetu
Swahili Times

Peter: Wanawake si chanzo cha ugomvi wetu

Aliyekuwa mwimbaji wa kundi la P-Square, Peter Okoye amesema wanawake si  chanzo cha mgogoro kati yake na pacha wake, Peter Okoye, akieleza kuwa chanzo cha mgawanyiko ni migogoro ya muda mrefu zaidi ya miaka 20 inayohusu uaminifu na usimamizi wa biashara yao ya muziki. Katika mtandao wake wa X, Peter ameandika kuwa “Kabla hamjamhusisha mwanamke yeyote katika hili, hakuna mwanamke aliyemwelekeza au kumshauri mtu yeyote kuiba kile nilichokifanyia kazi kwa miaka mingi. Hakuna hata mmoja wetu aliyekuwa ameoa miaka zaidi ya 20 iliyopita wakati usaliti huu na wizi vilipoanza.” Aidha, amesema mgogoro huo bado haujapatiwa ufumbuzi na kwa sasa kesi […] The post Peter: Wanawake si chanzo cha ugomvi wetu appeared first on SwahiliTimes .

Go to News Site