HabariLeo
TANGA: WAKALA wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) imetenga Sh milioni 578 kwa ajili ya kutekelezaji wa mradi wa kuboresha miundombinu na huduma za utalii katika hifadhi ya mikoko jijini Tanga. Mhifadhi wa Mwandamizi wa TFS Wilaya ya Tanga, Lawrence Brighton amesema hayo akielezea utekelezaji mradi huo wa kimkakati kwa lengo la kukuza sekta ya … The post TFS yaanzisha utalii ikolojia hifadhi ya mikoko Tanga first appeared on HabariLeo .
Go to News Site