Collector
Serikali yaweka jicho sakata la mafuta, Kamati yataka ruzuku | Collector
Serikali yaweka jicho sakata la mafuta, Kamati yataka ruzuku
Mwananchi

Serikali yaweka jicho sakata la mafuta, Kamati yataka ruzuku

Ingawa kupanda kwa bei ya mafuta ni janga linaloyakabili mataifa yote duniani, angalau Tanzania imetajwa kuwa na unafuu wa bei ya nishati hiyo, ukilinganisha na baadhi ya nchi za Afrika Mashariki.

Go to News Site