Collector
Tanga yajipanga uchumi wa kijani | Collector
Tanga yajipanga uchumi wa kijani
HabariLeo

Tanga yajipanga uchumi wa kijani

TANGA: MKUU wa Mkoa wa Tanga, Balozi Bk Batilda Burian amesema mkoa utaendelea na jukumu la kusimamia uhifadhi wa mazingira ,vyanzo vya maji ,ulinzi na utekelezaji wa agizo la Serikali la kuhakikisha kila mwaka halmashauri zake zinapanda miti 1,500,000. Dk Burian amesema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari na maofisa wa Wakala wa Huduma … The post Tanga yajipanga uchumi wa kijani first appeared on HabariLeo .

Go to News Site