bongo5.com
Tume ya Kuchunguza matukio wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, imesema kuwa kilichotokea siku hiyo hakukuwa na mandamano ya amani na kubainisha kuwa matukio hayo yalipangwa, yaliratibiwa na kutelekezwa na watu waliopata mafunzo. Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Mohamed Chande wakati akiwasilisha ripoti ya tume hiyo mbele ya Rais …
Go to News Site