Collector
LIVE: Ilichobaini tume matukio ya Oktoba 29 hiki hapa | Collector
LIVE: Ilichobaini tume matukio ya Oktoba 29 hiki hapa
Mwananchi

LIVE: Ilichobaini tume matukio ya Oktoba 29 hiki hapa

Baada ya kusubiriwa kwa takriban miezi mitano, hatimaye ripoti ya Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 imewekwa hadharani leo.

Go to News Site