Collector
CWT Morogoro Vijijini yapata mrithi, Mniko akiibuka kidedea | Collector
CWT Morogoro Vijijini yapata mrithi, Mniko akiibuka kidedea
Mwananchi

CWT Morogoro Vijijini yapata mrithi, Mniko akiibuka kidedea

Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Wilaya ya Morogoro Vijijini kimepata mwenyekiti mpya baada ya mwalimu wa Shule ya Msingi Newland, Kata ya Mikese, Sabato Mniko, kushinda uchaguzi mdogo kwa kupata kura saba kati ya kura 12 zilizopigwa.

Go to News Site