Collector
Serikali yaongeza nguvu kwa wachimbaji wadogo, yasisitiza usalama migodini | Collector
Serikali yaongeza nguvu kwa wachimbaji wadogo, yasisitiza usalama migodini
bongo5.com

Serikali yaongeza nguvu kwa wachimbaji wadogo, yasisitiza usalama migodini

Serikali imeendelea kusisitiza umuhimu wa kuwawezesha Wakaguzi Wakuu wa Migodi pamoja na wachimbaji wadogo nchini ili kuimarisha usalama kazini, kulinda mazingira na kuongeza mchango wa sekta ya madini katika ukuaji wa uchumi wa Taifa. Wito huo umetolewa leo Aprili 23, 2026 wilayani Kahama, mkoani Shinyanga na Mkurugenzi wa Huduma za Leseni wa Tume ya Madini, …

Go to News Site