Tume: Idadi ya vifo vya matukio ya Oktoba 29 ni 518 | Collector
Mwananchi
Tume: Idadi ya vifo vya matukio ya Oktoba 29 ni 518
Tume ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 imebaini kuwa vifo vilivyotokana na ghasia siku hiyo ni 518.