Collector
Watoto watatu wafariki dunia kwa kuzama bwawa la hoteli Dodoma | Collector
Watoto watatu wafariki dunia kwa kuzama bwawa la hoteli Dodoma
Mwananchi

Watoto watatu wafariki dunia kwa kuzama bwawa la hoteli Dodoma

Watoto watatu wenye umri kati ya miaka mitano na sita wamefariki dunia baada ya kuzama kwenye bwawa la kuogelea lililopo ndani ya hoteli ya Esperanza, inayofanyiwa ukarabati katika eneo la Swaswa, jijini Dodoma.

Go to News Site