Mwananchi
Tume ya Kuchunguza Matukio ya Oktoba 29 imesema baadhi ya kaulimbiu za kisiasa kama vile ‘Otoba tunatiki’, ‘No Reform no Election’, ‘Oktoba Tunatoka’ na ‘Tumedhamiria uchaguzi’ ni miongoni mwa kauli zilizochochea vurugu.
Go to News Site