Collector
Mpango maalum wa wastaafu wazinduliwa Dar | Collector
Mpango maalum wa wastaafu wazinduliwa Dar
HabariLeo

Mpango maalum wa wastaafu wazinduliwa Dar

Dar es Salaam: Afisa mtendaji mkuu wa SanlamAllianz Life Insurance Julius Magabe, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa bidhaa yao mpya ya Salama Plan inayolenga kuwahudumia wastaafu au  waajiriwa wanaokaribia kustaafu kutoka katika sekta binafsi, sekta za umma na hata wajasiriamali kuweza kustaafu wakiwa hawana mawazo juu ya kipato chao. Tukio hili … The post Mpango maalum wa wastaafu wazinduliwa Dar first appeared on HabariLeo .

Go to News Site