Swahili Times
Benki ya NMB imesema uwekezaji wake katika mifumo ya kidijitali ya ukusanyaji wa mapato umeisaidia Serikali kukusanya zaidi ya Sh trilioni 9.8 kupitia majukwaa yake tangu mwaka 2018. Mafanikio hayo yalielezwa Arusha wakati wa mkutano mkuu maalum wa uchaguzi wa viongozi wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT).Akizungumza katika mkutano huo, Mkurugenzi wa Uhusiano wa Wawekezaji, Uendelevu na Mawasiliano wa NMB, Innocent Yonazi, alisema hatua hiyo imetokana na ushirikiano wa karibu kati ya benki hiyo na taasisi za umma katika kuboresha usimamizi wa mapato ya Serikali. Alisema NMB imewekeza katika mifumo ya kisasa ya malipo inayorahisisha malipo ya Serikali […] The post NMB ilivyosaidia serikali kukusanya zaidi ya TZS trilioni 9.8 appeared first on SwahiliTimes .
Go to News Site