Collector
SanlamAllianz Tanzania Yazindua Mpango wa “Salama Plan” Kuwahakikishia Wastaafu Kipato | Collector
SanlamAllianz Tanzania Yazindua Mpango wa “Salama Plan” Kuwahakikishia Wastaafu Kipato
Swahili Times

SanlamAllianz Tanzania Yazindua Mpango wa “Salama Plan” Kuwahakikishia Wastaafu Kipato

Kampuni ya SanlamAllianz Life Insurance (Tanzania) Limited imezindua rasmi Salama Plan, mpango mpya wa mafao unaolenga kuwasaidia Watanzania wanaokaribia au waliokwisha kustaafu kupata kipato cha uhakika kwa maisha yao yote, pamoja na usalama wa kifedha wa muda mrefu. Uzinduzi wa mpango huo, umefanyika katika hafla maalum jijini Dar es salaam na kujikita katika kujibu hitaji kubwa na linaoongezeka kwa wastaafu wengi la kuwa na kipato cha uhakika na cha muda mrefu. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Mtendaji Mkuu wa Sanlam Allianz Tanzania, Julius Magabe, alisema: “Uzeeni unapaswa kuwa muda wa kupumzika, si wa kuwa na wasiwasi. Kupitia ‘Salama Plan’, tunawawezesha […] The post SanlamAllianz Tanzania Yazindua Mpango wa “Salama Plan” Kuwahakikishia Wastaafu Kipato appeared first on SwahiliTimes .

Go to News Site