Collector
Mkemia adai unga uliokutwa kwa Mushi ni mchanganyiko wa dawa za kutibu magonjwa ya afya akili | Collector
Mkemia adai unga uliokutwa kwa Mushi ni mchanganyiko wa dawa za kutibu magonjwa ya afya akili
Mwananchi

Mkemia adai unga uliokutwa kwa Mushi ni mchanganyiko wa dawa za kutibu magonjwa ya afya akili

Mkemia wa Serikali daraja la kwanza, Lowasa Erika, ameiambia Mahakama kuwa uchunguzi alioufanya kwenye mabaki ya unga ulioganda katika bilauli ya plastiki iliyokutwa chumbani kwa mtuhumiwa Dominic Mushi, ulibaini kuwa ni mchanganyiko wa dawa za hospitali, ambazo zikitumiwa kwa wingi zinaweza kusababisha kifo.

Go to News Site