Mwananchi
Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk Switberti Mkama, ameiagiza Wizara pamoja na taasisi zinazohusika na masuala ya teknolojia kuanza kufuatilia mafunzo ya Tehama yanayotolewa kwa wanafunzi ili kubaini kama yanazaa matokeo chanya, hususan katika kuongeza idadi ya wataalamu wanawake katika sekta hiyo.
Go to News Site