Mwananchi
Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, Jaji Mkuu mstaafu Mohamed Chande Othman, amesema uchunguzi wao umebaini mali zilizoharibiwa za sekta binafsi na za umma zina thamani ya Sh125 bilioni.
Go to News Site