Ibada katika uislamu ni upeo wa mwisho wa kunyenyekea na ukomo wa ndani wa hisia kwa utukufu wa yule unayemuabudu.