Collector
ACT Wazalendo yasema walitarajia yaliyomo ndani ya Tume ya Chande | Collector
ACT Wazalendo yasema walitarajia yaliyomo ndani ya Tume ya Chande
Mwananchi

ACT Wazalendo yasema walitarajia yaliyomo ndani ya Tume ya Chande

Baada ya Tume ya Uchunguzi wa Matukio Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 29 kuwasilisha ripoti yake, Chama cha ACT Wazalendo kimesema hitimisho la tume hiyo lilitarajiwa kutokana na muundo wake, wajumbe wake na hadidu rejea zake.

Go to News Site