Collector
Watoto, vijana 75,500 watarajiwa kufanyiwa uchunguzi kubaini mapema kama wana sikoseli | Collector
Watoto, vijana 75,500 watarajiwa kufanyiwa uchunguzi kubaini mapema kama wana sikoseli
bongo5.com

Watoto, vijana 75,500 watarajiwa kufanyiwa uchunguzi kubaini mapema kama wana sikoseli

Watoto na vijana 75,500 wanatarajiwa kufanyiwa uchunguzi ili kubaini mapema kama wana ugonjwa wa sikoseli na hivyo kupata huduma muhimu zinazohitajika. Uchunguzi huo unafanyika kupitia mradi ww wa miaka mitatu wa sikoseli unaotekelezwa katika nchi za Tanzania na Kenya. Kati yao, watoto wachanga ni 45,000, watoto wenye umri chini ya miaka mitano ni 12,500, huku …

Go to News Site