Collector
Rushwa yatajwa michezoni | Collector
Rushwa yatajwa michezoni
HabariLeo

Rushwa yatajwa michezoni

DAR ES SALAAM: VITENDO vya rushwa vimetajwa kuwa miongoni mwa changamoto kubwa zinazoathiri maendeleo ya michezo nchini, hasa katika maeneo ya usajili wa wachezaji, upangaji wa matokeo ya mechi na uchezeshaji wa michezo. Hayo yameelezwa na Ofisa na Mkuu wa Uelimishaji Umma wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kutoka Ilala, Mary Mwakyusa, … The post Rushwa yatajwa michezoni first appeared on HabariLeo .

Go to News Site