Collector
Serikali yaombwa kurejesha mfumo mizigo kidogo kidogo | Collector
Serikali yaombwa kurejesha mfumo mizigo kidogo kidogo
HabariLeo

Serikali yaombwa kurejesha mfumo mizigo kidogo kidogo

DAR ES SALAAM:CHAMA Cha Wamiliki wa Malori Tanzania (TATOA) na Chama Cha Mawakala wa Forodha Tanzania (TAFFA) wameiomba serikali kurejesha mfumo wa kutoa mizigo kidogo kidogo ili kusaidia kupunguza gharama kwa wafanyabiashara. Hayo ameyasema leo Aprili 24 na Mwenyekiti wa Chama Cha Mawakala Wa Forodha Tanzania(TAFFA), Edward Urio na kuongeza kuwa kurejeshwa kwa mfumo huo … The post Serikali yaombwa kurejesha mfumo mizigo kidogo kidogo first appeared on HabariLeo .

Go to News Site