Mwananchi
Jeshi la polisi mkoani Njombe limesema kuwa limeimarisha ulinzi katika maeneo yote ya mkoa huo na kuwaonya watakaofanya vitendo vya uhalifu kuelekea sherehe za Mei Mosi ambazo kitaifa zinafanyika mkoani Njombe.
Go to News Site