Collector
Sh395 milioni zakopeshwa kwa vikundi 44 Ileje | Collector
Sh395 milioni zakopeshwa kwa vikundi 44 Ileje
Mwananchi

Sh395 milioni zakopeshwa kwa vikundi 44 Ileje

Halmashauri ya Ileje Mkoani Songwe imetoa mikopo ya asilimia 10 kwa vikundi 44 vya vijana wanawake na wenye ulemavu yenye thamani ya Sh395.2 milioni ambayo hutolewa bila riba kwa mujibu wa sheria za serikali za mitaa sura 290 kifungu 37 (a).

Go to News Site