Collector
Nchi za Afrika zatakiwa kuharakisha mifumo ya kidigitali bandarini kuongeza ufanisi | Collector
Nchi za Afrika zatakiwa kuharakisha mifumo ya kidigitali bandarini kuongeza ufanisi
Mwananchi

Nchi za Afrika zatakiwa kuharakisha mifumo ya kidigitali bandarini kuongeza ufanisi

Shirika la Bahari Duniani (IMO) limezitaka nchi za Afrika kuharakisha utekelezaji wa mfumo wa dirisha moja la kidijitali la uondoshaji wa mizigo bandarini, likieleza kuwa hatua hiyo ni ya lazima kuongeza ufanisi wa bandari na ushindani wa kiuchumi.

Go to News Site