Mwananchi
Tanzania imetajwa miongoni mwa nchi nne zinazoongoza kwa idadi ya vifo vinavyotokana na malaria duniani, zikichangia zaidi ya nusu ya vifo vyote vilivyoripotiwa mwaka 2024, kwa mujibu wa ripoti (World Malaria Report 2025).
Go to News Site