Katiba mpya ifikapo 2028? wadau watoa mwelekeo | Collector
Mwananchi
Katiba mpya ifikapo 2028? wadau watoa mwelekeo
Pendekezo la kupatikana kwa Katiba mpya ifikapo 2028, limefungua mjadala upya wa kitaifa kwa vyama vya siasa, viongozi wa dini na wananchi, wakisema ikiwa litafanikiwa litakwenda kuzalisha Tanzania mpya.