Operesheni maalumu ya Polisi Tanga yanasa 69 | Collector
Mwananchi
Operesheni maalumu ya Polisi Tanga yanasa 69
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limewakamata watuhumiwa 69 wanaohusishwa na makosa mbalimbali baada ya kufanya operesheni maalumu katika maeneo tofauti ya mkoa huo.