Collector
Uwanja wa ndege Sumbawanga tayari kwa matumizi | Collector
Uwanja wa ndege Sumbawanga tayari kwa matumizi
HabariLeo

Uwanja wa ndege Sumbawanga tayari kwa matumizi

SUMBAWANGA: MAMLAKA ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) imefanya majaribio ya kutua na kuruka kwa ndege katika kiwanja cha ndege cha Sumbawanga baada ya kukamilika kwa ujenzi wake. Majaribio hayo yamefanyika leo kwa kutumia ndege ya Shirila la Ndege la Tanzania (ATCL) ambayo ilitua katika kiwanja hicho kutoka Kiwanja cha Kimataifa cha Julius Nyerere(JNIA), Dar … The post Uwanja wa ndege Sumbawanga tayari kwa matumizi first appeared on HabariLeo .

Go to News Site