Ndege ya kwanza yatua Sumbawanga baada ya uwanja kukamilika | Collector
Mwananchi
Ndege ya kwanza yatua Sumbawanga baada ya uwanja kukamilika
Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile amewataka wananchi kutumia vyema fursa zinazotokana na maboresho ya sekta ya uchukuzi kujikwamua kiuchumi kwa kuibua na kuendeleza miradi ya kimkakati.