Marekani, Iran hali bado tete sakata la mafuta | Collector
Mwananchi
Marekani, Iran hali bado tete sakata la mafuta
Marekani imetangaza kuongeza vikwazo vipya, ikisema inachukua hatua madhubuti kuvuruga biashara ya mafuta ya Iran inayodaiwa kufanyika kinyume cha sheria.