Wabunge wametaja moja ya changamoto katika kupambana na magonjwa yasiyoambukiza kuwa ni Watanzania kutokuwa na utamaduni wa kupima afya zao.