Saba washikiliwa polisi kwa tuhuma za mauaji ya 'Mungu' Mbeya | Collector
Mwananchi
Saba washikiliwa polisi kwa tuhuma za mauaji ya 'Mungu' Mbeya
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linawashikilia watu saba kwa tuhuma za mauaji ya Mungu Mamboleo, mkazi wa Ihanga Mkanyageni, Tarafa ya Rujewa, wilayani Mbarali mkoani humo, kwa kumtuhumu kuiba ng’ombe.