Safari ya miaka 62 ya Muungano wa Tanganyika, Zanzibar katika namba | Collector
Mwananchi
Safari ya miaka 62 ya Muungano wa Tanganyika, Zanzibar katika namba
Leo Aprili 26, 2026, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaadhimisha safari ya kipekee ya miaka 62 tangu mataifa mawili huruTanganyika na Zanzibar yalipoamua kuungana na kuunda dola moja.