Collector
Risasi zatibua hafla ya waandishi Ikulu ya Marekani, Trump akimbizwa | Collector
Risasi zatibua hafla ya waandishi Ikulu ya Marekani, Trump akimbizwa
Mwananchi

Risasi zatibua hafla ya waandishi Ikulu ya Marekani, Trump akimbizwa

Rais wa Marekani, Donald Trump, ameondolewa ghafla kutoka jukwaani baada ya kutokea milio ya risasi na kuvuruga hafla ya White House Correspondents’ Dinner iliyokuwa ikiendelea jijini Washington, DC usiku wa kuamkia leo Jumapili, Aprili 26, 2026.

Go to News Site