Mwananchi
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema Serikali imeanza mchakato wa ujenzi wa ofisi mpya za Mkuu wa Mkoa katika eneo la Magomeni, lililokuwa chini ya umiliki wa DDC, kwa lengo la kuboresha mazingira ya kazi na huduma kwa wananchi.
Go to News Site