HabariLeo
DAR ES SALAAM: Mkurugenzi wa Kituo Cha Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC) David Kafulila amesema Muungano wa Tanzania ni wa kipekee barani Afrika kwa kuwa umejengwa juu ya misingi ya watu, na si serikali pekee. Kupitia ukurasa wake wa X, Kafulila amesema Tanzania inaadhimisha miaka 62 ya Muungano ambao ni … The post Kafulila: Muungano ni watu sio tu serikali first appeared on HabariLeo .
Go to News Site