Collector
Kampeni usalama barabarani yazinduliwa | Collector
Kampeni usalama barabarani yazinduliwa
HabariLeo

Kampeni usalama barabarani yazinduliwa

DAR ES SALAAM:KATIKA jitihada za kupunguza ajali na kuimarisha usalama barabarani, Kampuni ya Azam TV imezindua rasmi kampeni ya usalama barabarani katika Wilaya ya Ubungo, ikilenga kuwahamasisha waendesha bodaboda kuzingatia sheria na kujilinda wanapokuwa barabarani. Akizungumza katika uzinduzi huo, Ofisa Usafirishaji Barabarani, Amina Kikala amesisitiza umuhimu wa waendesha bodaboda kujipenda na kulinda afya zao binafsi. … The post Kampeni usalama barabarani yazinduliwa first appeared on HabariLeo .

Go to News Site