Collector
Taasisi ya Uongozi kwa kushirikiana na UNECA kufanya kongamano la kikanda Addis Ababa | Collector
Taasisi ya Uongozi kwa kushirikiana na UNECA kufanya kongamano la kikanda Addis Ababa
bongo5.com

Taasisi ya Uongozi kwa kushirikiana na UNECA kufanya kongamano la kikanda Addis Ababa

Taasisi ya Uongozi kwa kushirikiana na Kamisheni ya Umoja wa Mataifa kuhusu Uchumi Barani Afrika (UNECA), itafanya kongamano la kikanda lenye dhima ya kuimarisha usimamizi wa madini mkakati kwa ajili ya viwanda vya kijani na maendeleo endelevu barani Afrika. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Taasisi hiyo ilieleza kuwa kongamano hilo ni tukio muhimu litakalofanyika …

Go to News Site