Collector
Tiba ya malaria kwa watoto wachanga yapatikana | Collector
Tiba ya malaria kwa watoto wachanga yapatikana
Mwananchi

Tiba ya malaria kwa watoto wachanga yapatikana

Hatua ya Shirika la Afya Duniani (WHO) kuidhinisha kwa mara ya kwanza dawa maalumu ya kutibu malaria kwa watoto wachanga imeibua matumaini mapya katika mapambano dhidi ya ugonjwa huo hatari, huku wataalamu wa afya wakisisitiza mafanikio hayo yatategemea zaidi upatikanaji wake kwa wakati na matumizi sahihi katika jamii.

Go to News Site