Collector
Vyama 12 vyaitaka Serikali kuharikisha mchakato Katiba Mpya, maridhiano | Collector
Vyama 12 vyaitaka Serikali kuharikisha mchakato Katiba Mpya, maridhiano
Mwananchi

Vyama 12 vyaitaka Serikali kuharikisha mchakato Katiba Mpya, maridhiano

Vyama vya siasa 12 vimesema ni wakati mwafaka kwa Serikali kurahakisha mchakato wa upatikanaji wa Katiba mpya na maridhiano kama ilivyopendekezwa na Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani kabla na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.

Go to News Site