Collector
Ukosefu wa maji wawasumbua wanafunzi Sekondari Mwabwola | Collector
Ukosefu wa maji wawasumbua wanafunzi Sekondari Mwabwola
Mwananchi

Ukosefu wa maji wawasumbua wanafunzi Sekondari Mwabwola

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mwabwola, iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, wamelalamikia ukosefu wa huduma ya maji safi na salama, hali inayowaathiri katika utekelezaji wa shughuli zao za kila siku.

Go to News Site