Mwananchi
Absa Group imetajwa miongoni mwa chapa tatu za benki zenye thamani kubwa zaidi barani Afrika, huku ikiingia katika orodha ya chapa tano bora zenye thamani kubwa zaidi nchini Afrika Kusini katika sekta zote.
Go to News Site